1 Timothy 6:6-8

6 aLakini utauwa na kuridhika ni faida kubwa. 7 bKwa kuwa hatukuja humu duniani na kitu chochote, wala hatuwezi kutoka humu na kitu. 8 cLakini kama tuna chakula na mavazi, tutaridhika navyo.
Copyright information for SwhKC